Timu
ya Wanaseheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo
(LEAT) Imetoa tamko juu ya
Ripoti ya Kamati Maalumu ya Rais juu ya Mchanganyiko wa Madini (Makinikia)
katika Makontena yaliyozuiliwa bandarini.
Kwa
kifupi LEAT haishangazwi na kile kilichobainika kwani
ni kile ilichokuwa
inakisema miaka yote tokea mwaka 2001.
LEAT inataka mabadiliko makubwa katika
sekta za mafuta, gesi na madini kwani sheria zinazoziongoza zinaruhusu kuporwa
kwa rasilimali hizi muhimu za nchi.
22 May 2017 is International
day for biodiversity and this year’s theme is tourism. The UN Convention on biodiversity (CBD) is
using this opportunity to promote the value of tourism in significantly
reducing threats to, and maintaining or increasing key wildlife populations and
biodiversity through tourism revenue. It does mention the need to reduce the
negative impacts of tourism but, whereas it sings the supposed values of
tourism, it merely whispers the negative impacts.
Positive examples of tourism do
exist, such as Community Based Tourism projects, which protect territories,
livelihoods and cultures. Friends of the Earth has worked with several such
initiatives around the world, such as community based eco-curtural tourism in Timor Leste. Self-governance is essential, as
are revenues that go directly to the local community and respect for their
traditional ways of generating income. Unfortunately many initiatives don’t
survive without the help of NGOs.
Sadly few sustainable tourism
projects are actually viable.
For example many “ecotourism” initiatives, whilst
better for the environment, fail local communities by denying them revenue
generation and self-determination. On a global scale, positive tourism is
minimal. Yet the few examples that exist are being used to suggest that the
entire tourism sector could become sustainable.
The biggest culprit of unsustainable
and economically unjust tourism remains mainstream tourism. Indigenous peoples
are often evicted from their land to make way for tourist resorts. Human rights abuses are rife, with some cases ending
in death for people protecting their land. Hotels are often built on
valuable ecosystems, destroying them in the process. Proposals such as the El
Salvadoran Government’s tourism project in 2013 which threatened both coastal
mangrove forests and local communities often fall foul of more than one
injustice.
Indigenous people are often
banned from their own territories as sacred sites are privatized, so tourists
can enjoy them undisturbed. The profit from tourist resorts remains in the
hands of transnational corporations. Furthermore local people are often
exploited as workers in these resorts and hotels. A person’s water usage in
hotels is significantly higher than at home. In some casestourists use 16 times as much water as locals, causing conflict and
disease.
Food waste is a huge issue.
Even small resorts waste up to 150 tons of food a year, and a staggering 36% of all food purchased ends up in the bin. Cruise
liners dump up to 3.8billion litres of sewage in the oceans polluting
ecosystems. These are just a few of the issues generated by mainstream
tourism.
Sustainable tourism initiatives
usually mean a mere change in the levels of waste and energy consumption rather
than a change of business model. Initiatives are purely voluntary, a practise
which has proved disastrous in other economic sectors.
It seems unlikely that tourism
can become a green industry. 5% of global emissions are linked to tourism, purely for the benefit of richer middle and
higher classes. The aviation industry alone plans 700% growth by 2050. It
plans to offset its increased emissions through REDD programs.
REDD is a false solution and desperately unsustainable.
Tourism comprises 10% of the global GDP with a projected annual growth
of 3-5%. It does not need the promotion for economic development the UN is giving
it on this day of International biodiversity.
What tourism needs is policies
that respect the rights of local communities and indigenous peoples,
including
their right to self-determination, the visitors they receive, a fair share of
the revenue, and protection for their ecosystems. Official studies on the
negative impacts of corporate tourism and tough measures to prohibit the worst
practices are desperately needed. Please help us celebrate International
biodiversity day by calling for a change in the tourism business model.
Mkuu wa wilaya ya Iringa, Bw. Richard Kasesela ametoa siku saba kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa, kutoa maelezo ama kumwajibisha Mtumishi anayekwamisha shughuli za uhifadhi wa Mazingira katika wilaya hiyo.
Kutokana ripoti iliyowasilishwa mwaka jana na Timu ya SAM ya wilaya ya Iringa inayowezeshwa na LEAT kupitia msaada wa watu wa Marekani USAID, iliweza kuibua changamoto mbalimbali za usimamizi wa maliasili na kutoa mapendekezo kwa halmashauri ya wilaya ya Iringa kujaribu kutatua changamoto hizo za kimazingira. Bw. Kasesela alisema walikubaliana mambo mbalimbali yatatekelezwa lakini mpaka hivi, asilimia 80 ya mambo hayo hayajatekelezwa kutokana na baadhi ya watumishi
kutotimiza wajibu wao.
Mkutano huo wa mrejesho wa shughuli za usimamizi wa maliasili uliofanya na Timu ya SAM ya wilaya ya Iriniga kwa kushirikiana na LEAT, ulihudhuriwa na wataalamu na Maafisa wa wilaya ya Iringa, Mkurugenzi wa wilaya na wafanyakazi kutoka LEAT.
Afisa Mwandamizi wa mradi wa CEGO Bw. Remmy Lema alisema, Pamoja na elimu na kuwasaidia kuboresha sheria za vijiji, katika mradi wa ushiriki wa Wananchi katika usimamizi wa maliasili zao (CEGO), unaofadhiliwa na Shirika la misaada la Marekani USAID, Timu ya watetezi wa Mazingira kwa vitendo LEAT pia imetoa mizinga ya nyuki kwa vijiji kama njia mbadala ya wananchi hao kujikimu kimaisha na tayari
wameshatoa mizinga ya nyuki 704.
Wajumbe wa Timu ya SAM ya Wilaya ya Mufindi wakifanya mahojiano na uongozi wa kijiji cha Igombavanu juu ya usimamizi wa maliasili za kijiji hicho
Wajumbe wa Timu ya SAM ya Wilaya ya Mufindi wakifanya mahojiano na uongozi wa kijiji cha Mapogoro juu ya usimamizi wa maliasili za kijiji hicho
Mjumbe akibainisha changamoto za usimamizi wa maliasi katika kijiji cha Ikangamwani
Mwenyekiti wa Timu ya SAM wilaya ya Mufindi Bw. Clemence Mwapelwa akiitambulisha Timu ya Ufuatiliaji wa Ufuatiliaji jamii kwa uongozi wa kijiji cha Ikangamwani
Wajumbe wa Timu ya SAM wakifanya tathmini ya pamoja juu ya mafanikio na changamoto za usimamizi wa maliasili kutokana na ziara zilizofanyika katika vijiji vya Igombavanu, Idumlavanu, Ikangamwani na Mapogoro
Timu
ya SAM ya Wilaya ya Mufindi yatembelea vijiji vya mradi vinne ambayo ni Igombavanu, Mapogoro, Idumlavanu na
Ikangamwani, ili kufanya tathmini ya
utekelezaji wa shughuli mbalimbali za usimamizi wa maliasili kuanzia ngazi ya Wilaya,
Kata na Vijiji.
Pia
Timu hiyo ililenga kupima matokeo ya utekelezaji wa shughuli za mradi ikiwa ni
pamoja na kufanya tathmini ya jinsi halmashauri ya wilaya ilivyotekeleza
mapendekezo ya Timu hiyo kama yalivyowasilishwa mwaka jana 2016.
Katika
ziara hii Timu iliweza kukutana na baadhi ya wajumbe wa Kamati za maliasili za
vijiji, Halmashauri za vijiji, Timu ndogo za SAM za vijiji, na Kamati za uchumi
na fedha.
Lengo
la kukutana na wajumbe hawa ni kuwahoji na kutoa mrejesho ambao utaisaidia Timu
ya SAM ya wilaya kulinganisha kilichopo kwenye nyaraka na kinachotetendeka
katika vijiji husika.
Taarifa
itakayokusanywa na Timu hii itataja mambo ambayo yatahitaji muitikio kutoka kwa
halmashauri za vijiji na halmashauri ya wilaya.
Ripoti
itataja mafanikio na changamoto ambazo zimegunduliwa na timu ya SAM ya wilaya,
ambazo zitawasilishwa mbele ya Mkurugenzi, Mkuu wa wilaya na Watendaji wakuu wa
Halmashauri ya wilaya ya Mufindi.
LEAT celebrates the World Environmental Day by participate in making sanitation in Mfyome village within Iringa district.
Additional through Mfyome theater group which was established by LEAT, They performed and encouraged community members to do cleanliness In their surroundings, to avoid outbreak and spread of infectious diseases like cholera
BARAZA LA MADIWANI LA WILAYA YA IRINGA LAIDHINISHA SHERIA NDOGO ZA USIMAMIZI WA MALIASILI ZA KIJIJI CHA MBWELELI, KINYALI NA KINYIKA
Hatimae wananchi wa vijiji vya Kinyika, Kinyali na
Mbweleli vilivyopo wilayani Iringa wamepitisha sheria ndogo zenye lengo la
kuhifadhi wanyama wa maeneo yao na utunzaji wa rasilimali za misitu zinazowazunguka.
Hatua hiyo inatokana na malalamiko ya muda mrefu ya
uharibifu wa mazingira na uuaji hovyo wa wanyama wanaokatisha kwenye vijiji
hivyo wakitokea Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kuelekea Mikumi.
Sheria ndogo zilizizopitishwa na wananchi kwa msaada
wa Timu ya Wanasheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo –LEAT inayofadhiliwa na USAID, na kuidhinishwa na
baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa huenda zikawa mwarobaini wa malalamiko ya madiwani
yanayosababishwa na kukithiri kwa uharibifu wa mazingira.
Mwanasheria wa halmashauri ya wilaya ya Iringa Bi. Kissa Mbila amesema, "Sasa
kijiji kitakuwa na uwezo wa kusimamia sheria hizo kwa kuwaadhibu wanaoikiuka
sheria ndogo badala ya kutegemea Halmashauri na hivyo kuongeza ulinzi wa
raslimali zake".
Vijiji hivyo vinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na ni
miongoni mwa maeneo ambapo wanyama huvuka kwenda maeneo mengine.
LEAT inapongeza vijiji hivyo kutambua umuhimu wa uhifadhi wa maliasili zinazowazungukua na kufikia lengo la kuweza kupitisha sheria ndogo hizo. Pia inatambua mchango wa Baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa kwa kuidhinisha sheria ndogo hizo lakini pia mwandishi kutoka Televisheni ya Taifa TBC1 Bi Irene Mwakalinga kwa kuripoti taarifa hii.