Timu
ya Wanaseheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo
(LEAT) Imetoa tamko juu ya
Ripoti ya Kamati Maalumu ya Rais juu ya Mchanganyiko wa Madini (Makinikia)
katika Makontena yaliyozuiliwa bandarini.
Kwa
kifupi LEAT haishangazwi na kile kilichobainika kwani
ni kile ilichokuwa
inakisema miaka yote tokea mwaka 2001.
LEAT inataka mabadiliko makubwa katika
sekta za mafuta, gesi na madini kwani sheria zinazoziongoza zinaruhusu kuporwa
kwa rasilimali hizi muhimu za nchi.
Fungua link hii kusoma Tamko hilo.
No comments:
Post a Comment