Dr. Rugemeleza Nshala, Mkurugenzi
Mtendaji wa Timu ya
Wanasheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo (LEAT),
amezungumzia suala la Makinikia katika kipindi cha "Sema Kweli"
kilichorushwa tarehe 31.05.2017, saa nne (4) usiku kupitia
Chanel 10.
Hii ni kutokana na Ripoti ya
kamati maalumu ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania juu ya uchunguzi wa
kiwango cha
madini.
Dr.Nshala akiwa kama Mwanasheria
aliyebobea kwenye masuala
ya mazingira, analizungumzia suala la Madini kwa
upana wake. Na
kuelezea tumefikaje hapa tulipo na tutatokaje kisheria.
Lengo ni kuisaidia nchi, serikali
yetu na pengine kumshauri Mhe.
Rais namna ya kutoka hapa tulipo.
Tafadhali fungua video hapo juu
kufuatilia kipindi hiko
No comments:
Post a Comment