Sanaa kwa maendeleo ni dhana ya kutumia sanaa hasa za maonesho ili kumuwezesha mwanajamii kujiletea maendeleo yake mwenyewe.
Mbinu ya sanaa kwa maendeleo imejikita zaidi katika kuamini kuwa ikiwa jamii Fulani ina matatizo ya kimaendeleo, ni wanajamii wenyewe ndio wana uwezo wa kuyajadili na kuyatafutia ufumbuzi matatizo hayo. Ingawa dhana hii sio ngeni sana masikioni mwa wnajamii na wanaharakati mbalimbali wa maendeleo imekuwa ikitumika kama kielelezo kuonesha mchango wa sanaa katika kuleta maendeleo ya mtanzania.
LEAT inaamini kuwa sanaa ni chombo kinachoweza kuionesha jamii jinsi ilivyo kwani sanaa kwa maendeleo ni zao la jamii lenyewe. Kwa kuliona hili LEAT kupitia nradi wa ushiriki wa wananchi katika usimamizi wa maliasili imetoa mafunzo kwa vikundi mbalimbali vya sanaa katika wilaya za Iringa Vijijini na Mufindi. Lengo la mafunzo haya ni kuvijengea uwezo vikundi hivi kutumia fani mbalimbali za sanaa zilizopo katika jamii husika kama vile ngoma, hadithi, maigizo,nyimbo mashairi, viziga na nyinginezo katika kuamsha ari na kuwawezesha wanajamii kupata fursa ya kujadili na kuhoji mambo mbalimbali hasa yanayohusu usimamizi wa maliasili ambayo yamekuwa kikwazo cha maendeleo.
Sanaa shirikishi inalenga kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika shughuli za kujiletea maendeleo . Kama sanaa ikitumika vizuri inaweza kuwahamasisha wanajamii kuinuka na kuweza kuwawajibisha viongozi wazembe pale wanaposhindwa kutekeleza majukumu yao.
Mafunzo haya kwa vikundi vya sanaa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa Ushiriki wa Wananchi katika Usimamizi wa Maliasili(CEGO-NRM) wenye lengo ka kuwawezesha wananchi kushiriki katika usimamizi wa maliasili na kuweza kuwajibisha viongozi na mamlaka mbalimbali zenye dhamana ya kusimamia maliasili pale zinaposhindwa kutekeleza majukumu yake. Mafunzo haya yalifanyika katika kata mbili, Kata ya Kiwere iliyopo wilaya ya Iringa Vijijini na kata ya Igombavanu iliyopo wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, Mafunzo yalianza katika Kata ya Kiwere tarehe 24- 27 Aprili 2015 na Kisha kwenda katika Kata ya Igombavanu tarehe 29 Aprili-1Mei 2015. Baada ya Mafunzo haya LEAT inategemea kuvitumia vikundi hivi vya sanaa katika kufanya maonesho yanayohusu ushiriki wa wananchi katika usimamizi wa maliasili na ufuatiliaji wa uwajibikaji jamii.
Mradi wa Ushiriki wa Wananchi katika Usimamizi wa Maliasili unafadhiliwa na USAID na unatekelezwa kwa kipindi cha miaka mi nne (4) katika wilaya za Iringa Vijijini na Mufindi mkoani Iringa.
Wednesday, May 6, 2015
Thursday, October 9, 2014
LEAT received 95.9
Million Tshs from Legal Services Facility (LSF) as grants to implement a
project on Advocacy for reducting economic gender based violence. This is a twelve
(12) Months project started from September 2014 to August 2015, implemented in
Dodoma Region at Mpwapwa specifically in six (6) villages in three Wards
including Kibakwe, Ipera and Rudi. The project target groups are women and men
aged 15years and above and the project is intended to benefit 150 beneficiaries
in the entire districts which is 25 citizens each villages.
The main objective of
the project is to create the community with fair distribution, ownership and control
of economic resources. Specifically the project aimed at increasing the
community awareness on Economic Gender Based Violence (EGBV) at domestic level
and legal rights access to resources as well as linking women and girls with
legal institutions to protect them, and respond to Economic Gender Based
Violence (EGBV) LEAT will work to create a better environment for upholding, respecting, and defending the rights of the rural women and girls in Mpwapwa district and enable them to know, advocate and defend their human rights including life to life, right to decent treatment and respect, equality before the law, right to own property, freedom association and expression right to take part in decision making process at the family, village, district and national level, Duty to enforce the law, right to privacy, freedom of movement, right to work and livelihood, right to have a family and many among others”. Said Glory Baltazari Kilawe (Advocate) who is also the coordinator for this project.
During the implementation of this project LEAT will conduct weekly sessions to peer group on EGBV and legal rights, organizing and conducting trainings of facilitators (TOF)/Peer educators on EGBV and legal rights. Conducting public sensitization meetings through theater for development, produce training manuals on EGBV as well as monitoring and evaluation of the project activities.
LEAT intervention will result to the empowerment in the aspects of Economic Gender Based Violence, Human rights and legal right in the project area. It will also lead to increase awareness on Economic Gender Based Violence, human rights and Legal Rights to communities in Mpwapwa District particularly in the targeted project villages. The project will lead to the identification and utilization of legal services in project villages necessary in combating Economic Gender Based Violence and enforcing of human right and legal rights. Not only that but also women and community members will vigorously report and take action against Economic Gender Based Violence (EGBV)and actively take part in decision making processes pertaining to the control distribution and ownership of resources in their respective villages and there will be reduced cases of Economic Gender Based Violence in project villages.
Tuesday, October 7, 2014
RIPOTI YA PROGRAMU YA WAKALA WA MABADILIKO
Timu ya Wanasheria
Watetezi wa Mazingira (LEAT) inafanya programu ya kuiwezesha jamii kutunza
Mazingira na kuibua miradi kupitia Mbinu Shirikishi ya Kujifunza kwa Vitendo
(Participatory Learning and Action/People Owned Process) ambayo inasimamiwa na
Asasi iitwayo Mtandao wa mazingira Tanzania
(Mazingira Network Tanzania (MANET) iliyopo Morogoro na kufadhiliwa na Mfuko wa dunia wa wanyamapori (WWF-Norway.)
MANET inafanya programu hii kwa kushirikisha Asasi mbalimbali Tanzania kwa
lengo la kuwezesha jamii zote kuibua na kumiliki miradi yao wenyewe pasipo
kutegemea wawekezaji au Wafadhili). MANET iliweza kuteua wakala wa mabadiliko
(Young Environmentalist Trainee (YET)) kutoka kila asasi nchini Tanzania.
Kutoka LEAT Bi Edina Tibaijuka ambaye ni Afisa Mazingira na mkuu wa Idara ya udhubiti wa taka na uchafuzi wa Mazingira. aliteuliwa
kuwa wakala wa mabadiliko(YET) na
kuiwakilisha asasi kwenda kupata mafunzo hayo ya PLA/POP.
Katika harakati za
kuendeleza mradi huu LEAT iliamua kutoa mafunzo haya katika kitongoji cha
Majani Mapana wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani kwasababu ni moja ya wilaya
inayokumbana na changamoto ya uchafuzi wa Mazingira uliosababishwa na uwepo wa
dampo katikati ya makazi ya wanajamii hao. Hivyo hali hii inazidi kurudisha
nyuma hali ya utunzaji Mazingira na hali ya uchumi kwa jamii ya watu wa Majani
Mapana.
Hivyo tangu mwezi
Oktoba 2013 hadi hivi sasa LEAT imekuwa ikishirikiana kwa ukaribu na wanajamii
wa Majani Mapana katika kutoa mafunzo ya elimu shirikishi ya kujifunza kwa
vitendo (PLA/POP) ili kuhakikisha wanajamii wanaweza kutatua changamoto
mbalimbali za Mazingira na kuweza kubadilisha mitazamo yao juu ya utegemezi.
LEAT inaamini ifikapo mwisho wa mwaka huu ambapo ndio utakuwa mwisho wa
programu hii Jamii hii itaweza kujisimamia yenyewe katika kulinda Mazingira na
kuendeleza miradi mbalimbali ya utunzaji Mazingira.
Monday, September 29, 2014
NOTIFICATION FOR OFFICIAL EMAIL CHANGE
Dear Followers, LEAT wishes to inform you that we have changed our official email from info@leattz.org to info@ leat.or.tz. This is due to change in website domain which is currently www.leat .or.tz. We are sorry for any inconveniences caused due to this act.
Keep in touch
Keep in touch
Thursday, September 25, 2014
KAMATI ZA VIJIJI ZA MAZINGIRA ZAFUNZWA JUU YA USIMAMIZI WA MALIASILI KUPITIA UFUATILIAJI UWAJIBIKAJI JAMII.
KAMATI
ZA VIJIJI ZA MAZINGIRA ZAFUNZWA JUU YA USIMAMIZI WA MALIASILI KUPITIA
UFUATILIAJI UWAJIBIKAJI JAMII.
Timu ya wanasheria watetezi wa mazingira (LEAT) kupitia mradi wa
Ushiriki wa Wananchi katika Usimamizi wa Maliasili ( CEGO-NRM) ambao upo chini
ya Ufadhili wa Shirika la maendeleo la misaada la watu wa Marekani (USAID)
inaendesha mafunzo ya Usimamizi wa Maliasili kwa kupitia dhana ya mfumo wa
Ufuatiliaji wa Uwajibikaji jamii
(UJJ/SAM) katika mkoa wa Iringa,
wilaya mbili za Iringa vijijini na Mafinga.
Mafunzo yalianza mnamo mwezi wa nane na yataendelea hadi mwezi wa kumi
mwaka 2014. Walengwa wakuu wa mafunzo haya ni Kamati za Mazingira za vijiji
kama vile kamati za maliasili, kamati za maji, kamati za matumizi bora ya
ardhi, kamati za mipango na fedha, baraza la ardhi na kamati nyingine
zinazohusika na mazingira vijijini.
Hadi sasa LEAT imeweza kuzifikia
kamati hizi na kuwapatia mafunzo ambapo mpaka sasa Katika wilaya ya Iringa
vijijini LEAT imeweza kuifikia kata ya KIwere na Idodi ambapo katika kata ya Kiwere wkamati za mazingira za
vijiji vya kiwere, Mfyome,Kitapilimwa na itagutwa vimenufaika na mafunzo haya,
vilevile katika kata ya Idodi kamati za vijiji za Tungamalenga, idodi
zimefikiwa na kuelimishwa wakati kijiji cha Kitisi kikitegemea kufikiwa na
Mafunzo haya mwanzoni mwa mwezi wa kumi.
Kadhalika katika wilaya ya Mafinga LEAT imekusudia kuzifikia kata Mbili
ambazo ni Igombavanu na Saadani ambapo mpaka sasa LEAT imeweza kuvifikia vijiji
vya Igombavanu, uhambila Lugoda lutali na Tambalang’ombe katika kata ya
igombavanu wakati katika kata ya Saadani LEAT imeweza kuvifikia vijiji vya
Kibada,Mapogolo wakati kijiji cha utosi kikitegemea kufikiwa mwanzoni mwa mwezi
wa kumi.
Mafunzo haya yamelenga kuwafikia angalau wajumbe 35 wa kamati za
Mazingira kwa kila kijiji na lengo kuu la mafunzo haya ni
I. Ni kuijengea uwezo jamii kufahamu mwelekeo sahihi
wa uwajibikaji jamii.
II. Kuelewa dhana ya mfumo
wa uwajibikaji jamii katika usimamizi wa misitu na wanyamapori.
III. Pia kuelewa hatua
tano za mchakato wa mfumo wa uwajibikaji jamii ikwa ni pamoja na mpango wa
mgawanyo wa rasilimali, usimamizi wa matumizi, usimamizi wa uadilifu na
usimamizi wa uangalizi.
Vilevile mafunzo ya ufuatiliaji na
usimamizi wa uwajibikaji wa jamii yanalenga kuongeza uelewa juu ya zana za
uwajibikaji na usimamizi wa jamii kwa kufuatilia kila hatua ya mchakato.
Hivyo basi ufualiaji wa uwajibikaji jamii
unawezesha watoa huduma kwa jamii kutoa ufafanuzi, uthibitisho na uhalalisho
juu ya mgawanyo wa raslimali za umma, utekelezaji wake na ufanisi/utendaji
wake. Lengo ni kuhakikisha kuwa viongozi wa serikali pamoja na watoa huduma
wote wanawajibika na wanawajibishwa ipasavyo pale wanaposhindwa kufikisha
huduma muhimu kwa jamii kama walivyoorodhesha katika mpango mkakati, Mpango
mwaka na bajeti ya Mwaka ili kuweza kufikia haki za msingi za
binadamu/mwananchi.
TEN JOURNALISTS TRAINED
ON EXTRACTIVE INDUSTRIES
This fellowship program funded by Tanzania media fund aimed at
increasing the capacity of 10 fellows on the extractive industry by equipping
them with critical knowledge on mining industry and oil and gas exploration and
production structure enabling them to deliver quality print articles and stimulate
debates or reactions from the public and policy makers based on the published
articles. this was a six months fellowship aimed at building capacity of 10 Journalists
fellows on extractive industry during the six months of the fellowship,
enabling them to generate quality print articles on extractive industry during the
five weeks of fieldwork and 7 seven weeks after fieldwork as well as
engendering change in the society through increased public awareness in
well-informed debates between members of the public and policy makers during
the fellowship program and soon thereafter.
The training was typically based on, the political economy of the
extractive industries; the policy and legal regimes of extractive industries in
Tanzania; institutions governing the extractive industries in Tanzania;
bilateral investments treaties and international investment
dispute settlement mechanisms; the tax regime on the extractive industries in Tanzania;
fiscal tools in international petroleum agreements (IPA), oil and gas
exploration and production, natural resources governance reporting tools for
journalists; environmental management policy and legal frameworks for
extractive industries as well as cosmetics reforms in the mining industry in sub-Saharan
African countries.
LEAT together with the donor TMF believes that Journalists
trained under this fellowship program will accentuate on knowledge sharing to
other journalists that have not benefited from this program and they will use
the knowledge to deliver quality print articles and stimulate debates or
reactions from the public and policy makers based on the published articles for
the benefit of the Tanzania Community.
Tuesday, September 23, 2014
SAM TRAININGS
INSTIGATED ACCOUNTABILITY TO VILLAGE ENVIRONMENTAL COMMITTEES IN IRINGA RURAL
DISTRICT.
Lawyers Environmental Action Team (LEAT) with the assistance
from USAID organized and conducted a 7 days training sessions on introduction
of Social Accountability Monitoring (SAM) concept and its methodologies to
Village Environmental committees in Kiwere Ward, Iringa Rural district. The
main objectives of the training was to build the capacity of the identified VEC
members to conduct SAM on the Natural resources sector with an expectation that
the village Environmental committees was to be an agent of change at the village, ward and district level after
being conversant with SAM in NRM sector.
The training drew up
at least seven (7) committees which gives a total number of 35 participants including,
Village Natural Resources Committee (
VNRC), Village Water Committee( VWC),
Village and Council (VLC), Village Land use Committee (VLUC), Village Planning
and Finance Committee (VPFC), Religious representatives as well as Elders
representatives in the village and
during the following topics were detailed elaborated , introduction to SAM and
the five processes of SAM system/ cycle.
Accountability began to appear
soon after the training where some of the Committee began to evaluate their
performance, A good example is when the LEAT team followed up to assess the
immediate post-training results or action taken they found the existing meeting
session at Kitapilimwa village, Kiwere ward whereby the Village council were
making evaluation of their performance. Kitapilimwa village received a training
on 1st to 7th September 2014 and the meeting was held on
the 10th September 2014 Just 3 days after the training. The meeting
session aimed at evaluating the performance of the Village council, looking at
their weaknesses and developing strategies to tackle these limitations so as to
ensure accountability and access to justice and basic human rights.
The meeting consisted of the Kiwere
Ward councilor, Kitapilimwa Village chairman, Chairman of the planning and
finance committee, Village Executive Secretary, Members from Natural resources
committee, land use committee as well as other members from other committees.
Kitapilimwa village council
promised to hold accountable all officials who noted not to be performers, all officials
that are not integral and also promised to involve all citizens in the village
of Kitapilimwa in the planning stage exactly at the point of floating
priorities.
Subscribe to:
Posts (Atom)