Wednesday, July 9, 2014

MAFUNZO YA USHIRIKI WA WANANCHI KATIKA USIMAMIZI WA MALIASILI NA UFUATILIAJI UWAJIBIKAJI JAMII

Mkufunzi Hana Lupembe (kulia) akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya ufuatiliaji wa uwajibikaji jamii katika ushiriki wa wananchi katika usimamizi wa maliasili (misitu na wanyamapori) yanayoendelea VETA, mjini Iringa.

Mkufunzi Franklin Masika (kulia) na msimamizi mkuu wa mafunzo Dr. Naima Besta (katikati)wakimsilikiza mshiriki kwa makini wakati akichangia mada.
 
 
Msimamizi Mkuu wa mafunzo,  Dr. Naima Besta kutoka shirika la Lawyers' Environmental Action Team (LEAT) akitoa ufafanuzi kwa washiriki wa mafunzo ya ufuatiliaji wa uwajibikaji jamii katika ushiriki wa wananchi katika usimamizi wa maliasili, ambapo moja ya malengo makuu ya mafunzo hayo ni kuijengea uwezo jamii kufahamu mwelekeo sahihi wa uwajibikaji jamii.
 
 
washiriki wa mafunzo ya Ushiriki wa wananchi katika usimamizi wa Maliasili
Mafunzo kwa Vitendo



 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

No comments:

Post a Comment